Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh wakupika utakuwa wewe fb?mmmh! Huku sikuwahi kukuona kumbe kuzuri hivi!!!
ni mwendo wa kula na kupika kwa kwenda mbele.Nalog offdah hapa nimefika yani daaaah kweeeeli sikufanya makosa kuingia JF asee... aaaaah
Biriani si wali bali ni ule mchuzi wake mzito, ambao ndio wenye viungo, ule wali kutiwa rangi hakufanyi kuwa biriani.Naombeni kujua hv biriani na wali wa biriani vina tofauti?
Kabla sijaenda sana hebu boresha hilo neno. Hata ubongo una lishe yake, na mojawapo ni matamshi sahihi katika lugha sahihiWana'JF Wote wenye kupenda kula na kunywa kwa Afya Bora, hapa ndio sehemu yako. Wote mnakaribishwa ili kubadirishana uzowefu wa MAPISHI, Mahanjumati na Makulaji.
Jisikie Huru Kushirikiana na kila mwanachama katika kuboresha RISHE Bora.
Aina zote za Mapishi yatapatikana hapa.
Shukrani
Karibuni Wote WanaJF
![]()
Kaka yangu hua anakaanga alafu anaula tu wenyewe.X-PASTER au mdau yeyote
naomba kujua mapishi mazuri ya uyoga na unaweza kula na chakula gani (main food) , rice,ugali or french fries
Nadhani umemsoma lizzy hapo, ila fahamu kuwa uyoga unaiva haraka sana, kama unataka kutengeneza sosi ya kulia Wali au Ugali, ni kama vile unavyopika mboga zingine tu... Mchicha au kabichi...!X-PASTER au mdau yeyote
naomba kujua mapishi mazuri ya uyoga na unaweza kula na chakula gani (main food) , rice,ugali or french fries
Nadhani umemsoma lizzy hapo, ila fahamu kuwa uyoga unaiva haraka sana, kama unataka kutengeneza sosi ya kulia Wali au Ugali, ni kama vile unavyopika mboga zingine tu... Mchicha au kabichi...!
Kaka yangu hua anakaanga alafu anaula tu wenyewe.
Nwy unaweza ukatengeneza sauce yenye nyama au bila, unaweza ukaoka pamoja na nyama au samaki, na unaweza ukala na chochote kile unachopenda.
Ukitaka niambie nikupe recipe ya stew. . . nzuri sana kula na wali au viazi vya kuchemsha.
Ndio hivyo mkuu, wakati mwingine unajaribu tu, michanganyiko mbali mbali... unaweza kuchanganya na wali, yaani kama vile unavyopika wali ukachanganya na vitunguu maji, (vilivyo kaangwa) hoho au ukatia korosho au mahindi matamu (sweet corn).bonge la jibu subiri kesho lazima niimaleze vizuri na hili pishi la uyoga..
Kaka yangu hua anakaanga alafu anaula tu wenyewe.
Nwy unaweza ukatengeneza sauce yenye nyama au bila, unaweza ukaoka pamoja na nyama au samaki, na unaweza ukala na chochote kile unachopenda.
Ukitaka niambie nikupe recipe ya stew. . . nzuri sana kula na wali au viazi vya kuchemsha.
Lizzy
Ahsante sana dada yangu
please naomba unipatie recipe ya stew ya uyoga na pia ningependa kujua ninaweza pata wapi uyoga wa kienyeji (organic) unless otherwise nimeuona shoprite nikautamani sana ila nahisi huuni wa kisasa
@X-PASTER thanks for your addition