Anachonikera huyu bwana anajifanya kujua kila kitu while watu wanamuhurumia ..Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na linalaani kitendo cha Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kumdhalilisha Mwandishi wa Habari wa Radio Clouds FM, Prisca Kishamba...
Kuna siku walizipiga ngumi ikulu kabisa pale magogoni mwaka 2014 kipindi Kikwete rais.Haji ni mlemavu wa ngozi ni mtu wa kumsamehe bure.
Siku moja walipewa zawadi pale ocean road sasa mbele ya mgeni wa heshima wakaanza kugombana. Ni wa kusamehe na kumchukulia kama alivyo.
#WANATAKANAHAOOOJukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na linalaani kitendo cha Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kumdhalilisha Mwandishi wa Habari wa Radio Clouds FM, Prisca Kishamba...
Kumtetea Haji kunahtaji mtu ashushe sana kiwango chake cha busara.Ndio we uliwahi ona Haji kamshataki mtu pamoja na yote anayo fanyiwa?
Sidhani kama Wana Simba wenye akili wanakubaliana na tabia za Haji.Haji ndio kioo Cha Simba, unayo yaona Haji anayafanya yanaungwa mkono 100% na uongozi wa Simba. Waandishi watambue hivyo ndivyo Simba inavyo endeshwa. Kinachofuatia haji anakuja kuwatukana nyie jukwaa la wahariri.
Nenda uwanjani, pata matokeo unayohtaji, lakini ukirudi kumbuka Haji anaharibu brand ya Simba.Hivi wamemuita Haji na kusikia upande wake? Anyways, Haji aliover react unnecessarily ingawa pia yule binti aliingilia mazungumzo bila adabu kwa namna ya kukera!
Kitu kimoja ambacho hatuwezi kukwepa ni Haji lazima aweze kuji control na kuwa na majibu yenye weledi regardless kuwa provoked kiasi gani. Level alizofikia sio za kupanikishwa kirahisi tena na dada junior kama yule.
Ngoja hili la deby lipite then tuwachape vizuri hao wanaoshabikia kutaka Haji achukuliwe hatua kwa swala lililohitaji hekima ndogo tu.