Jukwaa la Wahariri Tanzania latoa tamko kwa Haji Manara kutokana na kumdhalilisha Prisca Kishamba

Haji ndio kioo Cha Simba, unayo yaona Haji anayafanya yanaungwa mkono 100% na uongozi wa Simba. Waandishi watambue hivyo ndivyo Simba inavyo endeshwa. Kinachofuatia haji anakuja kuwatukana nyie jukwaa la wahariri.
 
Mimi naomba waendelee kudhalilishwa na ikibidi na vibao wapigwe yaani kweli kwa hali ile mnatoa press ndio imeisha hivyo. Mtu mmoja anawatia mfukoni mnaanza kulialia mnashindwa kumchukulia hatua.

Tena waandishi ni mazezeta maana hawajui kama wao ndio maboss wa manara eti press shwain kabisa. MANARA NEXT TIME PIGA MAKOFI HAO WAPUUZI
 
Haji ni mlemavu wa ngozi ni mtu wa kumsamehe bure.

Siku moja walipewa zawadi pale ocean road sasa mbele ya mgeni wa heshima wakaanza kugombana. Ni wa kusamehe na kumchukulia kama alivyo.
 
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na linalaani kitendo cha Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kumdhalilisha Mwandishi wa Habari wa Radio Clouds FM, Prisca Kishamba...
Anachonikera huyu bwana anajifanya kujua kila kitu while watu wanamuhurumia ..
 
Huyu sope hawezagi kwenda na fact
Yeye anashambulia watu tu hovyo.
 
Hivi wamemuita Haji na kusikia upande wake? Anyways, Haji aliover react unnecessarily ingawa pia yule binti aliingilia mazungumzo bila adabu kwa namna ya kukera!

Kitu kimoja ambacho hatuwezi kukwepa ni Haji lazima aweze kuji control na kuwa na majibu yenye weledi regardless kuwa provoked kiasi gani. Level alizofikia sio za kupanikishwa kirahisi tena na dada junior kama yule.

Ngoja hili la deby lipite then tuwachape vizuri hao wanaoshabikia kutaka Haji achukuliwe hatua kwa swala lililohitaji hekima ndogo tu.
 
Haji ni mlemavu wa ngozi ni mtu wa kumsamehe bure.

Siku moja walipewa zawadi pale ocean road sasa mbele ya mgeni wa heshima wakaanza kugombana. Ni wa kusamehe na kumchukulia kama alivyo.
Kuna siku walizipiga ngumi ikulu kabisa pale magogoni mwaka 2014 kipindi Kikwete rais.
 
  • Thanks
Reactions: Dol
Watangazaji Wengi wa Clouds Wanataka Wajibiwe vile wao wanataka, showing wao ni wabobezi wa kazi, wakati ni uzoefu tu wanatembea nao
 
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na linalaani kitendo cha Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kumdhalilisha Mwandishi wa Habari wa Radio Clouds FM, Prisca Kishamba...
#WANATAKANAHAOOO
 
Nyie nyani wa Utopolo msitupigie kelele tunaenda kuwatupa jalalani
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Uyu mtu kila siku yeye tu kwanini hachukuliwi hatua na nyinyi wandishi kwanini hamsusiii kwwnda kwenye wanapowaita ili ajifunze siku moja akiita press alaf akawa mwenyewe atajua hajui
 
Haji ndio kioo Cha Simba, unayo yaona Haji anayafanya yanaungwa mkono 100% na uongozi wa Simba. Waandishi watambue hivyo ndivyo Simba inavyo endeshwa. Kinachofuatia haji anakuja kuwatukana nyie jukwaa la wahariri.
Sidhani kama Wana Simba wenye akili wanakubaliana na tabia za Haji.
 
Hivi wamemuita Haji na kusikia upande wake? Anyways, Haji aliover react unnecessarily ingawa pia yule binti aliingilia mazungumzo bila adabu kwa namna ya kukera!

Kitu kimoja ambacho hatuwezi kukwepa ni Haji lazima aweze kuji control na kuwa na majibu yenye weledi regardless kuwa provoked kiasi gani. Level alizofikia sio za kupanikishwa kirahisi tena na dada junior kama yule.

Ngoja hili la deby lipite then tuwachape vizuri hao wanaoshabikia kutaka Haji achukuliwe hatua kwa swala lililohitaji hekima ndogo tu.
Nenda uwanjani, pata matokeo unayohtaji, lakini ukirudi kumbuka Haji anaharibu brand ya Simba.
 
Back
Top Bottom