Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
vp kuhusu mahakama ya kadhi ipo???
gabriela acha kupoteza muda kasome sura ya tano ibara ya 41 utapata majibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vp kuhusu mahakama ya kadhi ipo???
Huna uwezo wa kujadiliani na mimi kuhusu Ukristo.wewe kichwa chako kimejaa upepo tuu, ulichokiandika hapo ni pumba tupu!! Acha kuleta uchochezi kuhusu masuala ya dini, weka hoja za msingi!!
Huna uwezo wa kujadiliani na mimi kuhusu Ukristo.
Wewe ni mkaririshwa na mfuata Mkumbo mwenye akili tegemezi kama God Haters aka non theists na ndugu zao akina Jibrilcacos bin Muzzrataganstans.
Get a life you Muzzrat.
mbona unauliza majibu?
Tangu lini sungura akalinganishwa na tembo kwa ukubwa?!
You must be kidding!
wakristo wa madhehebu yote tuungane kuikataa kata kata katiba pendekezwa. Katiba pendekezwa imeacha mambo ya msingi kama mbunge kutokuwa waziri, muda wa mbunge, tunu za taifa, maadili ya viongozi, wananchi kumwajibisha mbunge wao nk. Kataeni kata kata.
Kuelimisha ni elimu na sio uchochezi. Wacha Kanisa litoe elimu kwa watu wake, kama ambavyo vyama vya Siasa vinavyo toa elmu kwa waumini I mean wafuasi wake.Mkakati wa kanisa ni kuelimisha waumini wao wote mpaka ngazi ya jumuhiya dogo dogo sasa ndipo utajua ni uchochezi au ni elimu
Isomeni kwanza jaman muielewe ndo mupinge
Huna uwezo wa kujadiliani na mimi kuhusu Ukristo.
Wewe ni mkaririshwa na mfuata Mkumbo mwenye akili tegemezi kama God Haters aka non theists na ndugu zao akina Jibrilcacos bin Muzzrataganstans.
Get a life you Muzzrat.
wakristo wote ni hapana,ukiongeza na jumuiya 11 za kiislamu ni hapana.
pepo litakuwa limewatembelea hao, mtu mcha mungu hawezi kukana kuheshimu mamlaka ya dunia, hata biblia inawataka viongozi wa dini na hata waumini kutii mamlaka za duniani. Wanatakiwa kuombewa hao ili pepo hilo liwatoke.
Pole sana kijana.I
ISHMAEL WANA JF TUNAKUSHANGAA KWA HOJA ZAKO MFU UNAJIFANYA UNAJUA SANA MASUALA YA DINI YAKO BASI NENDA IRAQ UKAWASAIDIE IS INAKUAJE MTU MWENYE AKILI UNAKOMALIA UDINI TANZANIA UNATAKA KUTURUDISHA DARK AGES,HOJA YA MSINGI UNAIJUA UNAKALIA UDINI ACHA HIZO BHANA, TAFUTA KATIBA PENDEKEZWA USOME IBARA YA 41 uache kutupigia kelele hapa.
Pole sana kijana.
Try again. Karibu kwenye Jukwaa la Wakristo.
Kadhi Court is unconstitutional,
WEWE UMEJALIWA KIPAJI CHA KUTANGAZA NENO LA BWANA, SIASA NA WEWE WAPI NA WAPI?? MBONA UNALAZIMISHA MBILI IWE MOJA WAKATI HAIWEZEKANI? HOJA ZAKO NYINGI UNAZIBASE KWENYE DINI TENA UNAZICHANGANYA NA MAMBO YA SIASA, HIVI HATA HIYO BIBLIA UNAIJUA KWELI KAMA KATIBA INAYOPENDEKEZWA HUIJUI JE HIYO BIBLIA UTAIJUA KWELI AU NDO NYIE MNAOWADANGANYA WAUMINI ZENU ETI KUNA MAHAKAMA YA KADHI PIGENI KURA YA HAPANA KATIBA, MMEISOMA MKAONA HIKO KIPENGELE? YA KAISARI MPE KAISARI NA YA MUNGU MPE MUNGU EPUKA UCHOCHEZI KUWA MZALENDO BHANAAA TUMEKOCHOKA NA MAMBO YAKO YA UDINI HUMU NDANI. Khaaaa!!
kadhi court is unconstitutional,
Reason number One.kwahiyo unasemaje kama ni unconstituional? Weka hoja acha mbwembwe zako hapa
reason number one.
asilimia 35 ni makafir wa kiislamu, duuuuuuu
islam in tanzania - wikipedia, the free encyclopedia