James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Hapa ndo nne inaitwa inne hahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, sisi ni maziwa na viazi ulaya kwenda mbele
Byaombe uyo ni mkongo ila hakuna shida, salam zitamfikia
Mhuuum umeelewa bwana. Urakoze.Kama sielewi maana ico ni kiha sio kirundi
Vyote sawa,wanasikilizana.hivi mkuu kuna tofauti kati ya kinyarwanda na kirundi kama lugha?
Mnasikilizana bwana. Na waha pia mnasikilizana.Ndio mkuu tofauti ipo tena kubwa sana, mnyarwanda kumuelewa mrundi ni rahisi bali mrundi kumuelewa mnyarwanda ni ngumu kidogo
Upo Burundi au Tanzania ?Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
[emoji849][emoji849] mwenzio mtiziiii org sijakuelewaMamy @Ihera aho uri hose baguhe kamwe ndariha
ok hapo nimekusomaNdio mkuu tofauti ipo tena kubwa sana, mnyarwanda kumuelewa mrundi ni rahisi bali mrundi kumuelewa mnyarwanda ni ngumu kidogo
[emoji16][emoji16][emoji16]ulipotelea wapi rol modoTunakusalimia pia bwana rol modo
Hapana nchi nzima tuna zungumza kirundi tu pekeyake, ila kwa kumjua uyu ni wa kule ama wa apa utamsia tu accent yake anavyo ongeaok hapo nimekusoma
vipi kwenye makabila mfano hapa TZ kiswahili ni lugha ya taifa ila kuna lugha za makabila mbalimbali vipi hapo Burundi mfano kama Kirundi/Kifaransa zikiwa lugha za Taifa je kuna lugha za kikabila tofauti na Kirundi?
je? watutsi na wahutu wanaongea lugha moja yaani Kirundi kama lugha yao ya kikabila? Je kinachowatofautisha kama jamii tofauti ni nini ilhali lugha yao ni moja?