Jukwaa la watu kutoka Burundi

Jukwaa la watu kutoka Burundi

51d004b6c14f4e1db49329e305da5a91.jpeg
 
Ndio mkuu tofauti ipo tena kubwa sana, mnyarwanda kumuelewa mrundi ni rahisi bali mrundi kumuelewa mnyarwanda ni ngumu kidogo
ok hapo nimekusoma
vipi kwenye makabila mfano hapa TZ kiswahili ni lugha ya taifa ila kuna lugha za makabila mbalimbali vipi hapo Burundi mfano kama Kirundi/Kifaransa zikiwa lugha za Taifa je kuna lugha za kikabila tofauti na Kirundi?

je? watutsi na wahutu wanaongea lugha moja yaani Kirundi kama lugha yao ya kikabila? Je kinachowatofautisha kama jamii tofauti ni nini ilhali lugha yao ni moja?
 
Hapana nchi nzima tuna zungumza kirundi tu pekeyake, ila kwa kumjua uyu ni wa kule ama wa apa utamsia tu accent yake anavyo ongea
 
Back
Top Bottom