Nakusanya taarifa taratibu kuhusiana na nyie Wahamiaji kutoka burundiHabari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusanya taarifa taratibu kuhusiana na nyie Wahamiaji kutoka burundiHabari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Changamka maana warembo wanaongezekaNipo kwenye harakati zile zile za kuaca u domo zege
Mtafute Zitto , sheikh ponda, mzee simba, gwajima, bashiteHabari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Hapana nchi nzima tuna zungumza kirundi tu pekeyake, ila kwa kumjua uyu ni wa kule ama wa apa utamsia tu accent yake anavyo ongea
Nimesha fika kigoma tu mkuu, ila nna mpango wakuja dar. Kuhusu usalama bado ni changamoto kubwa sana mkuuPoa sana nchi yote lugha moja.Hapa bongoland , Tanzania wapi umefika. Je fursa gani zipo huko. Tunahofia usalama kukanyaga huko ?
Mkuu uko Buja mitaa ipi?Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Chibitoke bado hakujakaa sawa mkuu au ni wapi?Nimesha fika kigoma tu mkuu, ila nna mpango wakuja dar. Kuhusu usalama bado ni changamoto kubwa sana mkuu
Hili la kufananishwa na mtusi lilishawahi kunikuta mwaka 2007 na kipindi hiki bado watu wanazo silaha majumbani na msituni bado hakujakaa sawaBurundi kuna ubaguzi sana, tena ule wa chini chini. Hasa kati ya Hutu na Tusi.
Sintosahau siku nimeingia Burundi kwa mara ya pili 2011, kusaka maisha baada ya kamaliza A'level.
Rafiki tuliyeenda naye akanambia twende kwa ndugu zetu huku wapo ndugu zetu, so usiende lodge. Pia usalama si mzuri sana.
Nikasepa naye hadi kwa hao ndugu.
Tulifika jioni ya giza giza, dah! Wale ndugu zake walivyoniona tu wakaanza kumuuliza, mbona umekuja na huyu mtusi? Tangu lini?
Jamaaa ikabidi aanze kuwaeleza vizuri kwa utaratibu. Ndipo wakaelewa somo.
Aunt yake akasema pole sana kijana , tumeona wewe ni mrefu mrefu kiasi. Tukajua ni mtusi. Kuanzia muda huo nikawa naenda na jamaa bila tatizo. Nikaoneshwa kwa ndugu zake wengine.
Yaani umbo langu lilitaka kuniponza wakijua ni mtusi.
Kuna siku nilienda tukakuta Miji iko kimya, wakasema Wasomali wameingia nchini; siku hiyo hiyo nilikuja kulala mpakani.
Asubuhi yake nilirudi Tz.
Ubaguzi upo sana Burundi na jirani yake Rwanda ni balaa tupu
Duuh bwiza barabara ya ngapi?Mimi mtoto wa Bwiza