Jukwaa la watu kutoka Burundi

Jukwaa la watu kutoka Burundi

Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana

Haya nawasubiri
Nakusanya taarifa taratibu kuhusiana na nyie Wahamiaji kutoka burundi
 
Njoo inbox unitafutie Mke Mkuu ... Nipo Kigoma ila naishi Dar
 
Poa sana nchi yote lugha moja.Hapa bongoland , Tanzania wapi umefika. Je fursa gani zipo huko. Tunahofia usalama kukanyaga huko ?
Hapana nchi nzima tuna zungumza kirundi tu pekeyake, ila kwa kumjua uyu ni wa kule ama wa apa utamsia tu accent yake anavyo ongea
 
Tunawapenda sana ndugu zetu Burundi ila wangepewa kwanza Rwanda jukwaa lao kwa matumiz mazur ya rasilimali watu
 
Burundi kuna ubaguzi sana, tena ule wa chini chini. Hasa kati ya Hutu na Tusi.

Sintosahau siku nimeingia Burundi kwa mara ya pili 2011, kusaka maisha baada ya kamaliza A'level.

Rafiki tuliyeenda naye akanambia twende kwa ndugu zetu huku wapo ndugu zetu, so usiende lodge. Pia usalama si mzuri sana.
Nikasepa naye hadi kwa hao ndugu.

Tulifika jioni ya giza giza, dah! Wale ndugu zake walivyoniona tu wakaanza kumuuliza, mbona umekuja na huyu mtusi? Tangu lini?

Jamaaa ikabidi aanze kuwaeleza vizuri kwa utaratibu. Ndipo wakaelewa somo.
Aunt yake akasema pole sana kijana , tumeona wewe ni mrefu mrefu kiasi. Tukajua ni mtusi. Kuanzia muda huo nikawa naenda na jamaa bila tatizo. Nikaoneshwa kwa ndugu zake wengine.

Yaani umbo langu lilitaka kuniponza wakijua ni mtusi.

Kuna siku nilienda tukakuta Miji iko kimya, wakasema Wasomali wameingia nchini; siku hiyo hiyo nilikuja kulala mpakani.
Asubuhi yake nilirudi Tz.

Ubaguzi upo sana Burundi na jirani yake Rwanda ni balaa tupu
 
Hili la kufananishwa na mtusi lilishawahi kunikuta mwaka 2007 na kipindi hiki bado watu wanazo silaha majumbani na msituni bado hakujakaa sawa

Kilichotokea jamaa akaja akawa anawaeleza wenzake huyu kazungu katoka Rwanda hivyo wanifatilie nijue naelekea wapi ili wafanye yao
Kwa bahati nzuri wenyeji wangu walikuwa watu makini na waliweza kuwaelezea mimi nimetoka wapi
Kuanzia siku hiyo nikasema sitatembea tena peke yangu
 
Back
Top Bottom