Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Long weekend iliyoambatana na sikukuu ya pasaka imeacha majeruhi na makovu mengi kwenye kila idara kuanzia afya mpaka mfukoni
Wengi saa hii wamejilalia tu home wengine wamekuwa wapole kupitiliza wakicheza na watoto wao wengine wamenuna na visirani kedekede
Kibaya zaidi ni kwamba hawana hata hela ya bundle hali inayosababisa jukwaa kupooza mno
Poleni wadau, mgeukie na jirani yako mwambie POLE