Jukwaa limepoa! Poleni wadau

Jukwaa limepoa! Poleni wadau

Em rudi hapa uchukuee unlimited bana...!!hata weye unaogopa...do u think mie shemale???

Hahahahaaaa nilikuwa natania tu unafikiri ningeondoka kweli! Nasubiri jibundle langu hapahapa
 
Long weekend iliyoambatana na sikukuu ya pasaka imeacha majeruhi na makovu mengi kwenye kila idara kuanzia afya mpaka mfukoni
Wengi saa hii wamejilalia tu home wengine wamekuwa wapole kupitiliza wakicheza na watoto wao wengine wamenuna na visirani kedekede

Kibaya zaidi ni kwamba hawana hata hela ya bundle hali inayosababisa jukwaa kupooza mno
Poleni wadau, mgeukie na jirani yako mwambie POLE

Daah! mkuu utafikiri umeniona mimi! Asante kwa pole lakini.
 
Long weekend iliyoambatana na sikukuu ya pasaka imeacha majeruhi na makovu mengi kwenye kila idara kuanzia afya mpaka mfukoni
Wengi saa hii wamejilalia tu home wengine wamekuwa wapole kupitiliza wakicheza na watoto wao wengine wamenuna na visirani kedekede

Kibaya zaidi ni kwamba hawana hata hela ya bundle hali inayosababisa jukwaa kupooza mno
Poleni wadau, mgeukie na jirani yako mwambie POLE

pole na wewe mshana jr
 
Back
Top Bottom