Jukwaa limepoa! Poleni wadau

Jukwaa limepoa! Poleni wadau

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Long weekend iliyoambatana na sikukuu ya pasaka imeacha majeruhi na makovu mengi kwenye kila idara kuanzia afya mpaka mfukoni
Wengi saa hii wamejilalia tu home wengine wamekuwa wapole kupitiliza wakicheza na watoto wao wengine wamenuna na visirani kedekede

Kibaya zaidi ni kwamba hawana hata hela ya bundle hali inayosababisa jukwaa kupooza mno
Poleni wadau, mgeukie na jirani yako mwambie POLE
 
Mi nashangaa jukwaa limepoa hadi limekuwa jeupe.
But MB 8 kazini.
 
kwi kwi tehe tehe tehe tehe,sasa umebakiwa na MB ngapi ?
Kuna majukwaa mengne ndo yamepoaaaaaa ka maji kwenye mtungi.

Nagongea kwa jirani kaniunganisha na kiwifi chake japo kabinua midomo kama ile nanihiii
 
Back
Top Bottom