Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaa nilikuwa natania tu unafikiri ningeondoka kweli! Nasubiri jibundle langu hapahapa
Mi nashangaa jukwaa limepoa hadi limekuwa jeupe.
But MB 8 kazini.
Pole jirani...najua 8mb ni sheeeder
Sisi wa zantel hatuna habari 100mb na dakika 20 kwa 500 nini tunahitaji zaidi ya kuperuzi?
Hahahahaaaa jinsia pindhani
Long weekend iliyoambatana na sikukuu ya pasaka imeacha majeruhi na makovu mengi kwenye kila idara kuanzia afya mpaka mfukoni
Wengi saa hii wamejilalia tu home wengine wamekuwa wapole kupitiliza wakicheza na watoto wao wengine wamenuna na visirani kedekede
Kibaya zaidi ni kwamba hawana hata hela ya bundle hali inayosababisa jukwaa kupooza mno
Poleni wadau, mgeukie na jirani yako mwambie POLE
Daah! mkuu utafikiri umeniona mimi! Asante kwa pole lakini.
Long weekend iliyoambatana na sikukuu ya pasaka imeacha majeruhi na makovu mengi kwenye kila idara kuanzia afya mpaka mfukoni
Wengi saa hii wamejilalia tu home wengine wamekuwa wapole kupitiliza wakicheza na watoto wao wengine wamenuna na visirani kedekede
Kibaya zaidi ni kwamba hawana hata hela ya bundle hali inayosababisa jukwaa kupooza mno
Poleni wadau, mgeukie na jirani yako mwambie POLE
Lazima wajue!nani aliniokoa
Hawataweza masharti nina hakika
Hawataweza masharti nina hakika
Ahaha mkuu umebaki na buku mfukoni ama nini?