Jukwaa limepoa! Poleni wadau

Jukwaa limepoa! Poleni wadau

Kwakweli kila forum ipo empty yani utafikiri watu wametishiwa mabomu, kila mahali pako kimya kabisa
 
Bora unyamaze siku ya leo inatisha wengine tumenywea kuna #Mdude hajulikani alipo si Polisi wala mgambo wanaojua Hajulikani, si JF au Insta hata BBC ndipo tulipohamia
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom