Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

Ahaa sasa kumbe kama hivyo ni sawa na kua na akaunti nyingi za fb halafu hazitumiki ,sababu haina maana kuwa mtandaoni halafu hauplay YouTube maana hao wasanii wanapata pesa Kwa watu kutazama nyimbo zao . Na chamilion alikubalika TZ na ndio maana akawa msanii mkubwa tu ingawa alikuwa hakubaliki Uganda sababu ya Kiswahili soko alikua anategemea Sana Tz na Kenya
 
Povu lote kwa kuwa tu tafiti zimewabeba Wakenya, ila zingetu-favour Watanzania usingepiga kelele! Kaazi kwelikweli...
Sio povu lazima ungalie uhalisia haiwezekani aje mzungu na takwimu zake aseme waganda jf wapo wengi kuliko wa Kenya hata huyo mtanzania atapinga hiyo takwimu lazima uangalie na uhalisia anaeleta takwimu ni mtu kama wewe
 
Kwaio jukwaa la uchumi wanaandika wachumi tu? Michezo? Siasa? Lugha? Hilo ni jukwaa linalohusu mambo ya Kenya na sio wakenya. Puuzi moja wewe!!!
Kama hajakuelewa hapa basi tena 😅
 
Sio povu lazima ungalie uhalisia haiwezekani aje mzungu na takwimu zake aseme waganda jf wapo wengi kuliko wa Kenya hata huyo mtanzania atapinga hiyo takwimu lazima uangalie na uhalisia anaeleta takwimu ni mtu kama wewe
Ni hao hao wazungu waliowaambia kuwa mmeingia uchumi wa kati mkashangilia (wakati kiuhalisia bado). Jambo lolote linaloiweka Kenya mbele ya Tanzania ninyi mashabiki wa Tz vs Ke huwa mnakuja na povu, mimi sina ushabiki wa aina hiyo...
 
Sasa tuamini data kutoka kichwani mwako na tupuuze data imefanyiwa research na wataalamu???ukijaribu kushirikisha akili ata kidogo utajua population ya nchi haijengwi na wananchi wa hio nchi pekee na pia kuna wale wanaoshikilia accounts zaidi ya moja
 
wataalamu ndio wamekuja na sample za data na kuzikabidhi kama zilivyo bila kuzifanyia upembuzi na kuja na wastani!!!!!.

wataalamu wana njaa hawa.
 
Hakuna aliyekulazimisha kukubali usichokipenda (hata kama ndiyo ukweli wenyewe). Endelea kuamini unachopenda kusikia. Period...
ukweli ni ule ulioandikwa tu,si ndio!!!!

unapima vipi kitu kuujua ukweli,ama huna muda??wewe ni twende tu.
 
Ni hao hao wazungu waliowaambia kuwa mmeingia uchumi wa kati mkashangilia (wakati kiuhalisia bado). Jambo lolote linaloiweka Kenya mbele ya Tanzania ninyi mashabiki wa Tz vs Ke huwa mnakuja na povu, mimi sina ushabiki wa aina hiyo...
kwani wewe unakubali kwamba jirani na bibi yako kule kijijini anaishi zaidi ya dollar moja kwa siku sasa???
 
Kwaio jukwaa la uchumi wanaandika wachumi tu? Michezo? Siasa? Lugha? Hilo ni jukwaa linalohusu mambo ya Kenya na sio wakenya. Puuzi moja wewe!!!
Huyu Newbie anatakiwa apate majibu kama haya ndio ataelewa [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Vilaza nyie mliefungiwa ndani na watoto wenu wanarudia madarasa mwakani
 
Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya. Hii imekaaje? Tujadiliane.
Kwa sababu sio Kenyans Threads Forum bali ni Kenyan News and Politics Forum! Hata kulivyotokea West Gate Saga, majority tulipata that Kenyan News kupitia CNN, Sky News na BBC na hapakuwa na ulazima kwa Wapasha Habari kuwa Wakenya!!

Una lingine?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…