Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

Asante kwa kuwa mkweli.
 
Na pia M7 Ni vikwazo viake kwa internet use.
 
Ni hao hao wazungu waliowaambia kuwa mmeingia uchumi wa kati mkashangilia (wakati kiuhalisia bado). Jambo lolote linaloiweka Kenya mbele ya Tanzania ninyi mashabiki wa Tz vs Ke huwa mnakuja na povu, mimi sina ushabiki wa aina hiyo...
Unazani Tanzania kuna dhiki kama Kenya ? Hivi unajua kama mtu anaelipwa ksh 20000 Kenya na anaelipwa ksh 15000 Tanzania anaelipwa ksh 15000 kutoka kimaisha lahisi kuliko anaelipwa ksh 20000
 
Alikubalika Kenya pia. Pia aliishi Kenya na taaluma yake ilishika kasi akiwa Kenya. Alijifunza kiswahili akiwa Kenya.
 
Alikubalika Kenya pia. Pia aliishi Kenya na taaluma yake ilishika kasi m akiwa Kenya. Alijifunza kiswahili akiwa Kenya.
Ndio alikubalika na Kenya ila Kiswahili alichokua anaimba cha TZ Nairobi hakuna Kiswahili kile na angeimba Kwa Kiswahili cha Nairobi bc angeishia huko huko wala asingefika popote kama kina jua Kali
 
Alikubalika Kenya pia. Pia aliishi Kenya na taaluma yake ilishika kasi akiwa Kenya. Alijifunza kiswahili akiwa Kenya.
Katika wasanii waliotoboa Uganda ni yule tu hakuna alievunja record yake
 
Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya.

Hii imekaaje?

Tujadiliane.
Una uhakika gani kama ni watanzania
 
Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya.

Hii imekaaje?

Tujadiliane.
Wewe MMU rudi ulipotoka huku umepotea njia
 
Ila wenzio hutaki kuwajua kama wana jukwaa..!! Unawajua kwa utaifa..
Hapana ndugu sio hivyo. Ukisoma threads zinazoanzishwa ni rahisi kujua zimeanzishwa na mtu kutoka wapi kwa kuwa na vionjo fulani fulani vya utaifa.
 
Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya.

Hii imekaaje?

Tujadiliane.
Japo sio watanzania wote, hawa vijicartoon wanaoanzisha hizi nyuzi kuhusu kenya na kuleta mada za kitanzania kwa page ya kenya ni sababu moja tu! Inferiority complex. They want to prove a point wapate kuboost their battered ego!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…