Juliana Shonza Afunga Ndoa

Juliana Shonza Afunga Ndoa

hongera zake .....mungu ampe moyo wa uvimilivu kusongesha gurudumu la ndoa ambalo hupata pancha mda wowote ... Aweze kuziba pancha na kuendelea na safari ya ndoa ... Amen

hiyo ni plan a, likipasuka kabisa kabisa itakuwaje? Toa plan b
 
Nabii Eli79 em tuambie hii ndoa itaingia doa baada ya muda gani....lolest
 
Last edited by a moderator:
Hongera Julie, kwa kitendo hicho umekuwa mtu mzima; bila shaka kauli na mabandiko ya hovyo hovyo yatawekwa kando na hekima itaongezeka.

Hongrea!
 
hongera zake .....mungu ampe moyo wa uvimilivu kusongesha gurudumu la ndoa ambalo hupata pancha mda wowote ... Aweze kuziba pancha na kuendelea na safari ya ndoa ... Amen

mumewe kajiandaa kukutana na masalia watakaokuwa wakimsaidia hili ndilo swali gumu kwenye ndoa
 
Yule dada aliyehama chama chake cha awali na kwenda chama kingine Maarufu kama Juliana Shonza ameolewa na kufunga ndoa na bwana David...


Hongera zakee.

10408914_355247734649492_2158775947530862861_n.jpg

10624902_355247854649480_8089601047044654774_n.jpg

kama wako ikulu vile

all the best muwe na amani mzidi kupendana kwenye michepuko na kusiko na michepuko :flame::flame:
 
Back
Top Bottom