Juliana Shonza Afunga Ndoa

Juliana Shonza Afunga Ndoa

Afadhali, ila huyo David akae akijua amejiweka kwenye kilengeo cha uwezo wake kujurikana, huyo binti akiendelea kuja humu kutukana wanaume utakuwa ni ushahidi tosha kabisa.



KWAMBA HAPATI MKUNO WA KUMTOSHA NYUMBANI.










NA WATU TUNAWEZA JITOLEA KUSAIDIA TEAM.
 
Wanaume wengine majasiri sana aisee,

Kujilipua jumla kwa huyu binti inahitaji extraordinary ujasiri.
 
huyu anajulikana.....ushafikiria wanawake/wanaume mlionao kwenye mahusiano historia zao za nyuma????......ukute na ww kuna watu wanakusema kuhusiana na mwanamke/mwanaume wako kutokana na historia yake ya nyuma...
 
Wanaume wengine majasiri sana aisee,

Kujilipua jumla kwa huyu binti inahitaji extraordinary ujasiri.

Wasukuma Mahaba niuee...yani wanajua kupenda kuliko wahindi...
 
Back
Top Bottom