hongera zake .....mungu ampe moyo wa uvimilivu kusongesha gurudumu la ndoa ambalo hupata pancha mda wowote ... Aweze kuziba pancha na kuendelea na safari ya ndoa ... Amen
hiyo ni plan a, likipasuka kabisa kabisa itakuwaje? Toa plan b
ASIJEKUTA MADUKA YOTE YAMEFUNGWA AU YANAFANYA STOCK TAKING and no mauzo hapo kulingana na sheria za kuhesabu maliAtembeleee hivyo akiona amechoka atupe anunue lingine
ASIJEKUTA MADUKA YOTE YAMEFUNGWA AU YANAFANYA STOCK TAKING and no mauzo hapo kulingana na sheria za kuhesabu mali
Atembeleee hivyo akiona amechoka atupe anunue lingine
hongera zake .....mungu ampe moyo wa uvimilivu kusongesha gurudumu la ndoa ambalo hupata pancha mda wowote ... Aweze kuziba pancha na kuendelea na safari ya ndoa ... Amen
ushauri wa kalumanzila huu
Yule dada aliyehama chama chake cha awali na kwenda chama kingine Maarufu kama Juliana Shonza ameolewa na kufunga ndoa na bwana David...
Hongera zakee.
Ndiyo mzuri
mumewe kajiandaa kukutana na masalia watakaokuwa wakimsaidia hili ndilo swali gumu kwenye ndoa
kusaidiwa ni muhimu tu