Nimekuwa nikifuatilia hawa jamaa wawili lakini nimegundua tofauti kubwa kifursa.
inaonekana julias hayuko kwenye trend kama mwenzie Genzgiant.
Huyu Julias hapati more airtime kwa creator wengine ndani na nje kama genzgiant.
vile vile amekuwa local sana content zake nyingi na post zake amekuwa mtu wa matusi na mapenzi kuliko burudani yenyewe .
uzuri wa julias ni mrefu kuliko mwezie lakini pia hatoshi vizuri lwenye vyombo vya usafiri hii anaweza ichukulia kama fursa lakini pia akipata management nzuri itakuwa poa.
menzie ana mvuto wake pia kama sura mbaya na weusi na pia ana management nzuri cheki page zao utanambia.
je una mwambia nini jamaa ili afike mbali
genzgiant