Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Hutaki kina juliethNina allergy na madem wachoyo na wapenda pesa.. Huyu anipite mbali.
[emoji28][emoji28][emoji28] Toto vivuhahahaha nimecheka sana.. Sasa nani alianzisha hiyo mada mpaka mama mtu anajuta kuwa na mtoto aitwaye Julieth?
Uyo uyo ana kucha ndefu nguo anafua dobiYupi! yule mtoto mkali ninayemwonaga!
Mimi siwezi kumsema mama yangu au ndugu yangu wa tumbo moja kwa mtu wa nje ya familia yetu achilia mbali kwenye daladala kwa hiyo hicho naona kama ni kitendo cha ajabu kidogo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mimi siwezi kumsema mama yangu au ndugu yangu wa tumbo moja kwa mtu wa nje ya familia yetu achilia mbali kwenye daladala kwa hiyo hicho naona kama ni kitendo cha ajabu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, ninayemzungumzia ni wa viwango vyake, hata we unamjua.
Ni kweli kabisaMama amekosa hekima.
Na ndo maana Julieth yupo hivo jinsi alivyo.
Muambie ajirekebishe.
Huwezi tangaza madhaifu ya mwanao kwenye daladala.
Huo ni uchawi.
Inategemea Mama Jully alikuwa amekaa na nani muda huo uskute alkuwa na Shangazi wa Jully?Mimi siwezi kumsema mama yangu au ndugu yangu wa tumbo moja kwa mtu wa nje ya familia yetu achilia mbali kwenye daladala kwa hiyo hicho naona kama ni kitendo cha ajabu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app