Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, msamehe tuDunia INA maajabu sana
mama yangu mzazi amenisengenya kwa mtu wa mbali
huyo MTU akaona siyo sawa akaniambia vyote..
kwa sasa mama nimempa likizo mpaka korona ipite nitamrudia
Hilo uliloamua kuachilia mbali ndio mimi limenishangaza, hayo mengine hayahusiani na madaAchilia mbali kosa la huyo mama, kuongelea jambo mahali ambapo si pake.
Kama kweli ni mama wa kambo na anayo yasema ni ukweli mtupu, basi huyu mama ni mzuri sana.
Kuna mdau mmoja huwa anajivunia sana mama ake wa kambo. Kila akiongelea maisha yake ya usomaji wake, haachi kumsifia yule mama ake wa kambo. Hii ziada tu.
Siku hizi mtu ukiwa mkweli anapewa majina mengi sana.
[emoji28][emoji28] Wazee hawana shida shida iko kwa mtotoni sikio la kufa
Mimi siwezi kumsema mama yangu au ndugu yangu wa tumbo moja kwa mtu wa nje ya familia yetu achilia mbali kwenye daladala kwa hiyo hicho naona kama ni kitendo cha ajabu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia INA maajabu sana
mama yangu mzazi amenisengenya kwa mtu wa mbali
huyo MTU akaona siyo sawa akaniambia vyote..
kwa sasa mama nimempa likizo mpaka korona ipite nitamrudia
Dunia INA maajabu sana
mama yangu mzazi amenisengenya kwa mtu wa mbali
huyo MTU akaona siyo sawa akaniambia vyote..
kwa sasa mama nimempa likizo mpaka korona ipite nitamrudia
Huoni kama unafanya uchonganishiKama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth
Sent using Jamii Forums mobile app
kiliniuma Ila ndo najikaza..🤣🤣🤣🤣 mzoee tu...mie pia maza angu yukogo hvyo .zamani ilikua inanikera sana! Pole sweetheart
Hhahaa....! Tupo wengi!ungepewa mamangu ungemkana!alafu anakuteta petty issues balaa😅😅!kiliniuma Ila ndo najikaza..
nikajua wangu tu
Bila shaka atakua mtoto mzuri sana kwa kutafunia na ugaliKama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli.Mama amekosa hekima.
Na ndo maana Julieth yupo hivo jinsi alivyo.
Muambie ajirekebishe.
Huwezi tangaza madhaifu ya mwanao kwenye daladala.
Huo ni uchawi.
KweliNia ya mama ni kutoa funzo kwa wadada wote.
Waache uvivu
Mama amekosa hekima.
Na ndo maana Julieth yupo hivo jinsi alivyo.
Muambie ajirekebishe.
Huwezi tangaza madhaifu ya mwanao kwenye daladala.
Huo ni uchawi.
Daah aiseeHujakutana na wamama wa aina hiyo wewe! Shukuru Mungu😄😄!wapo kibao!