Julieth mama yako anakusema kwenye daladala

Dunia INA maajabu sana
mama yangu mzazi amenisengenya kwa mtu wa mbali
huyo MTU akaona siyo sawa akaniambia vyote..
kwa sasa mama nimempa likizo mpaka korona ipite nitamrudia
Duh, msamehe tu
 
Achilia mbali kosa la huyo mama, kuongelea jambo mahali ambapo si pake.

Kama kweli ni mama wa kambo na anayo yasema ni ukweli mtupu, basi huyu mama ni mzuri sana.

Kuna mdau mmoja huwa anajivunia sana mama ake wa kambo. Kila akiongelea maisha yake ya usomaji wake, haachi kumsifia yule mama ake wa kambo. Hii ziada tu.

Siku hizi mtu ukiwa mkweli anapewa majina mengi sana.
Hilo uliloamua kuachilia mbali ndio mimi limenishangaza, hayo mengine hayahusiani na mada
 
Dunia INA maajabu sana
mama yangu mzazi amenisengenya kwa mtu wa mbali
huyo MTU akaona siyo sawa akaniambia vyote..
kwa sasa mama nimempa likizo mpaka korona ipite nitamrudia

🤣🤣🤣🤣 mzoee tu...mie pia maza angu yukogo hvyo .zamani ilikua inanikera sana! Pole sweetheart
 
Kama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth

Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni kama unafanya uchonganishi
 
Kama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka atakua mtoto mzuri sana kwa kutafunia na ugali

Niga from Timbuktu
 
Mama amekosa hekima.
Na ndo maana Julieth yupo hivo jinsi alivyo.
Muambie ajirekebishe.
Huwezi tangaza madhaifu ya mwanao kwenye daladala.
Huo ni uchawi.

Possibly alikua ana ndugu zake au majirani
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom