Julieth mama yako anakusema kwenye daladala

Julieth mama yako anakusema kwenye daladala

Mama yangu hawezi kusema madhaifu yangu mbele ya mke wangu tu ambaye tunalala chiu pamoja, iweje kwenye daladala ubwatuke madhaifu ya mtoto wa kuzaa? Ndio ile tunasema "like mother like daughter"!!
 
Huyo mama hajapata viboko vya baba ndo maana anaropoka ropoka siri za nyumbani kwake.
Kama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si angemuambia mwanae

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom