Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
- Thread starter
-
- #81
Kama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]