JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kibu umemwacha wapi?Nahisi list yake ina Manula, Inonga, Kapombe, Phiri na Kanoute.
Kasema watano. Ndiyo maana huwa mnafeli mitihani kwa kushindwa kuelewa vitu virahisi tu.Kibu umemwacha wapi?
😆 dahKasema watano. Ndiyo maana huwa mnafeli mitihani kwa kushindwa kuelewa vitu virahisi tu.
Si kila mchezaji anaweza kuja kuwa kocha mzuri.Julio alipewa timu ya Under 20 kwenye mashindano ya AFCON ikala kichapo mechi zote na kubeba magoli 12 katika mechi tatu.
Kwenye mpira yoyote anaweza kumfunga yoyote, sihitaji hata kukupa mifano kwa hiyo ukishinda lazima ushangilie.Goood, unafiki kaweka pembeni, na kakazia kwamba ile vipers iliyocheza na simba kuna timu pale? Wanamfunga vipers kigoli kimoja kocha anatamani avue nguo zote kwa furaha🤔🤔🤔🤔 ndio simba ya sasa hiyo
Kwahiyo Julio amesema ukweli au uongo?Kuna watu wamefurahi Julio kusema hivyo ila tulishakubaliana tusibishane tena mpira na watu ambao timu zao hazishiriki Super League ni kupoteza muda msiwajibu.
Kwa maana hiyo Julio siyo kocha mzuri ?Si kila mchezaji anaweza kuja kuwa kocha mzuri.
Wachezaji wenye upeo mpana ambao huwa ni wachache sana katika ulimwengu wa soka ndiyo huwa wanaweza.
Mtu anajiita utopolo og unadhani atakuwa na kitu kichwani?!Kasema watano. Ndiyo maana huwa mnafeli mitihani kwa kushindwa kuelewa vitu virahisi tu.
Hata sioni uchungu wowote hapo, huo ni ukweli mtamu sana.Ukweli mchungu kabisa huu!!
Kwa takwimu zake siwezi kusema ni kocha mzuriKwa maana hiyo Julio siyo kocha mzuri ?
Mnaidharau vipers kwa lipi hasa? Vipers hawa si ndiyo iliyompasua uto mbili kwa karai hapo Kwa Mkapa? Vipers hawa si ndiyo waliomtoa TP Mazembe ambao ndio uto wanajigamba kwamba wamempiga kigogo wa Afrika?Goood, unafiki kaweka pembeni, na kakazia kwamba ile vipers iliyocheza na simba kuna timu pale?
Wanamfunga vipers kigoli kimoja kocha anatamani avue nguo zote kwa furaha[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] ndio simba ya sasa hiyo