Julio: Kwa Simba hii ya sasa kuna wachezaji watano tu wanaoweza kuisaidia timu

Sasa mbona hakuwataja? Sasa hapo imesadia nini.
 
Ni maoni yake lakini ni dharau ,hivi ya kina Juko ile inafungwa tano ugenini lakini tukafuzu kwenda robo ndio ilikua bora kuliko hii ? Mshambuliaji Saidi Juma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…