Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Alimfanyaje kwani?Kibaden alimfanyaga vibaya sana huyu pimbi,
Ule wa nyuma?Julio anataka kuuvunja mwiko wa Yanga waliouweka.
Ameshindwa kabisa kuficha mahaba yake kwa simba. Maneno kama hayo yalitakiwa kusemwa na Suleiman Matola, na siyo yeye.Kocha wa Namungo, Jamhuri Kihwelu Julio anasema kuwa Simba anaweza kuwa bingwa endapo wao Namungo watawafunga Yanga hapo kesho kisha Yanga kufungwa na Simba wikiendi ijayo.
Julio ameongeza kuwa, wao kama Namungo wanataka kuwafunga Yanga kesho ili kuweza kuvunja mwiko wa kutofungwa msimu huu.
Julio anaamini bado Simba ana nafasi ya kutetea ubingwa wake.
Una maoni gani?
View attachment 2196807
Kwann afiche mkuu ingali inajulikana n mwanachama wa simbaa .Ameshindwa kabisa kuficha mahaba yake kwa simba. Maneno kama hayo yalitakiwa kusemwa na Suleiman Matola, na siyo yeye.
Ukimjua mwenye ile timu unga dot na anachokisema julioAmeshindwa kabisa kuficha mahaba yake kwa simba. Maneno kama hayo yalitakiwa kusemwa na Suleiman Matola, na siyo yeye.
Ndy aliyemharibu kampumulia sana aiseeKibaden alimfanyaga vibaya sana huyu pimbi,
Uko sahihi kiongoziTeam ya Namungo, Jimbo la ruangwa, mbinge Kassim Majaliwa kocha Julio.
Unategemea nini