Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kocha wa Namungo, Jamhuri Kihwelu Julio anasema kuwa Simba anaweza kuwa bingwa endapo wao Namungo watawafunga Yanga hapo kesho kisha Yanga kufungwa na Simba wikiendi ijayo.
Julio ameongeza kuwa, wao kama Namungo wanataka kuwafunga Yanga kesho ili kuweza kuvunja mwiko wa kutofungwa msimu huu.
Julio anaamini bado Simba ana nafasi ya kutetea ubingwa wake.
Una maoni gani?
Julio ameongeza kuwa, wao kama Namungo wanataka kuwafunga Yanga kesho ili kuweza kuvunja mwiko wa kutofungwa msimu huu.
Julio anaamini bado Simba ana nafasi ya kutetea ubingwa wake.
Una maoni gani?