Julio: Simba anaweza kuwa bingwa msimu huu

Julio: Simba anaweza kuwa bingwa msimu huu

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kocha wa Namungo, Jamhuri Kihwelu Julio anasema kuwa Simba anaweza kuwa bingwa endapo wao Namungo watawafunga Yanga hapo kesho kisha Yanga kufungwa na Simba wikiendi ijayo.

Julio ameongeza kuwa, wao kama Namungo wanataka kuwafunga Yanga kesho ili kuweza kuvunja mwiko wa kutofungwa msimu huu.

Julio anaamini bado Simba ana nafasi ya kutetea ubingwa wake.

Una maoni gani?

99E2B70F-82E5-4156-9677-15289E26ED6C.jpeg
 
Kocha wa Namungo, Jamhuri Kihwelu Julio anasema kuwa Simba anaweza kuwa bingwa endapo wao Namungo watawafunga Yanga hapo kesho kisha Yanga kufungwa na Simba wikiendi ijayo.

Julio ameongeza kuwa, wao kama Namungo wanataka kuwafunga Yanga kesho ili kuweza kuvunja mwiko wa kutofungwa msimu huu.

Julio anaamini bado Simba ana nafasi ya kutetea ubingwa wake.

Una maoni gani?

View attachment 2196807
Ameshindwa kabisa kuficha mahaba yake kwa simba. Maneno kama hayo yalitakiwa kusemwa na Suleiman Matola, na siyo yeye.
 
Huyu mzee ni kubwa jinga anashidwa kupambania timu yake kwenye mbio za ubigwa anapambania timu za jirani?
 
Team ya Namungo, Jimbo la ruangwa, mbinge Kassim Majaliwa kocha Julio.

Unategemea nini
 
Namungo wao sasa wanashiriki kwenye ligi ya nini ina maana wenyewe hawataki ubingwa na badala yake wanaipigania Simba. Huyo Jamhuri ni bure kabisa.
 
Back
Top Bottom