Julius adakwa akijifanya Afisa Muuguzi Mloganzila, atuhumiwa kwa wizi wa mali za wagonjwa na kukiri kuiba Simu Tatu

Nilidhan Stive Mengele
 
Wenzake wapo Lumumba wanavaa suti wamchukue huyu kuboresha kikosi kazi cha October 2025.
 
nilikuwepo hapo usiku wa jana...saa 6 usiku jamaa katiwa nguvuni naamka naskia ndugu wa wagonjwa pale bandani wanapolalaga waachiwe walau kwa dkk 5 hivi wamtie adabu ndipo walinzi walipoenda kumuhifadhi chumba chao pale getini
 
Huyo uwizi hawezi kuacha ni kitu anachopenda sana na anajikuta tu anakifanya.
 
nilikuwepo hapo usiku wa jana...saa 6 usiku jamaa katiwa nguvuni naamka naskia ndugu wa wagonjwa pale bandani wanapolalaga waachiwe walau kwa dkk 5 hivi wamtie adabu ndipo walinzi walipoenda kumuhifadhi chumba chao pale getini
Ulipelekwa hapo kwasababu ya sonona ya matoto ya palestina kuuawa mafuture terrorists na terror breds?
 
Wizi,kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu etc kasongo yeyeee uyu kaendaa
 
Vijana wabovu na wasio na maadili kama hawa inafaa waliwe vichwa mapema kabisa wakiwa vyuoni hasa kwa kada ya Afya. Ni bahati mbaya nowdays elimu imechezewa sana mpaka vibaka wanavuka kuja kuibia wagonjwa. Something must be done.
 
Mwamba akiwa na kitambulisho chake πŸ˜ƒ

Tumpe nafasi atuelezee amewezaje aisee
 
Atakua ana laana ya kukosa mafanikio usomee nursing uwe mwizi mpaka ufukuzwe kazi???
Uharibu kazi kwasababu ya wizi???
Jamaa fala sana huyu!!!
Huyu akaombewe au asomewe dua!!!
 
Atakua ana laana ya kukosa mafanikio usomee nursing uwe mwizi mpaka ufukuzwe kazi???
Uharibu kazi kwasababu ya wizi???
Jamaa fala sana huyu!!!
Huyu akaombewe au asomewe dua!!!
Na mpaka ID anayo πŸ˜ƒ bongo kila kitu connection aisee
 
Vijana wabovu na wasio na maadili kama hawa inafaa waliwe vichwa mapema kabisa wakiwa vyuoni hasa kwa kada ya Afya. Ni bahati mbaya nowdays elimu imechezewa sana mpaka vibaka wanavuka kuja kuibia wagonjwa. Something must be done.
Ni kweli kabsa
 
Na mpaka ID anayo πŸ˜ƒ bongo kila kitu connection aisee
Wamchunguze vizuri kwasababu huwezi kuharibu kazi kwasababu ya wizi huko alikofukuzwa awali ni aibu tupu nursing iharibike kwasababu ya wizi wa simu??? Haiingii akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…