Mpepetaji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 346
- 213
"Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA"
"Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha siasa ambacho lengo lake namba moja ni kushika Dola na kuongoza Serikali kwa hiyo kunapokuwa na chochote ambacho kinazuia hilo lazima kisemwe na kisemwe vizuri. Katiba ndio nyenzo na mwongozo namba moja unaoongoza shughuli za CHADEMA popote pale- Julius Mwita - Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA.