Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
kabisa!Pombe zikimwisha ataongea kinachoeleweka..
Kayasema leo kupitia Clouds FM kipindi cha Power Breakfast. Nimefurahi kuna mtu kapiga simu studio anasema Clouds wanatumika kuchafua taswira ya cdm, maana wanawaita hao wasiliti, lakini hawamwiti mwanaccm aliyepinga mchakato wa kumpata mgombea wa ccm. Hata hivyo watangazani wa Clouds wa leo wameweza kumbana vizuri Mwita, na wapiga simu hawakuonyesha kumwelewa Mwita.Kayasema lini?