Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hii ilikuwa ni siku ya mwisho ya ziara yake ya kitaifa aliyoifanya huko Uingereza mwaka 1975. Hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa, tarehe 21, Novemba 1975.
Hivi Rais Mkapa mwaka ‘75 alikuwa na wadhifa gani serikalini?
Hao wengine sijawatambua ni akina nani.
Hii ziara niliwahi kuianzishia uzi humu miaka karibu 5 iliyopita ila hii video sikuwa nayo.
Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza