The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mkapa na nyerere walikuwa wanabonga Sana ngeli pia nyerere alikuwa mjenga hoja matata. Sasa hivi si Mbowe, si magufuli, si lipumba wote Kingereza kibovu
Lipumba Kiingereza kibovu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkapa na nyerere walikuwa wanabonga Sana ngeli pia nyerere alikuwa mjenga hoja matata. Sasa hivi si Mbowe, si magufuli, si lipumba wote Kingereza kibovu
Nigeria wanamjua Mwalimu Nyerere kwani aliunga mkono upande wa Biafra pale akina Ojukwu walipotaka kujitenga na kuunda serikali yao.Alikuwa anaheshimika sana!
Mimi mpaka leo hii huwa nikikutana na watu wa Afrika Magharibi kama Ghana, Nigeria, Ivory Coast na kwingineko, na walio na umri wa kutosha kuweza kukumbuka, mara nyingi nikiwatajia ninapotoka, huwa wanamzungumzia pia Nyerere.
Nadhani wanamheshimu sana hata pande hizo.
Hii ilikuwa ni siku ya mwisho ya ziara yake ya kitaifa aliyoifanya huko Uingereza mwaka 1975. Hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa, tarehe 21, Novemba 1975.
Hivi Rais Mkapa mwaka ‘75 alikuwa na wadhifa gani serikalini?
Hao wengine sijawatambua ni akina nani.
Hii ziara niliwahi kuianzishia uzi humu miaka karibu 5 iliyopita ila hii video sikuwa nayo.
Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

Ni kama sasa hao kutoka Ghana, Nigeria, Ivory Coast na kwingineko ukiwatajia unakotoka huwa wanamzungumzia Magufuli na kusema Afrika ya sasa inahitaji kiongozi wa sampuli yake.Alikuwa anaheshimika sana!
Mimi mpaka leo hii huwa nikikutana na watu wa Afrika Magharibi kama Ghana, Nigeria, Ivory Coast na kwingineko, na walio na umri wa kutosha kuweza kukumbuka, mara nyingi nikiwatajia ninapotoka, huwa wanamzungumzia pia Nyerere.
Nadhani wanamheshimu sana hata pande hizo.
Hahah Barakoa inafanana na titi 1 hivi lililokatwa.Siku hizi Ni ....Choo oyee,jogoo oyee...kesho mkajisaidie kwa DC,hizo hela mlixokula zitawatokea kwenye sehemu matundu yote yaliyowazi![emoji36][emoji36]
Sasa yeye zile Trilion 1.5 zitatokea wapi?Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
Yaani Nyerere ukisikiliza hotuba zake akiongelea mambo ya udini,ukabila,malaya wa kisiasa etc utadhani ni hotuba ya jana tu.Yule mzee hakika alikua ni special one.Acha tu kingereza, hoja haijengwi kwa kingereza, hoja inajengwa na uwezo wako wa akili. Sasa hao uliowataja hata kujenga kwa kiswahili ni shida.
Nyerere alitawala enzi za wasomi wachache ila wenye kuchambua na kunyumbulisha mambo kwa hoja.
Sasa hivi wajinga ni wengi kuliko ambao Nyerere alitawala.
Na Nigeria ilituma jeshi lake nchini kipindi kile cha sekeseke la Mwl. kupinduliwa na Ethiopia nao walitupiga tafu.Nigeria wanamjua Mwalimu Nyerere kwani aliunga mkono upande wa Biafra pale akina Ojukwu walipotaka kujitenga na kuunda serikali yao.
Pia siasa za kutofungamana na upande wowote zililipaisha sana jina la Mwalimu.
Bila kusahau hata waingereza nao wamempa Mtaa unaoitwa - Julius Nyerere Close, Islington, London, N1 0JT . Huyu Mzee ni dunia nzima kwa kweli ilimzimia hata mabeberu...Julius Nyerere University of Kankan
Julius Nyerere University of Kankan (UJNK), also known as Université de Kankan is a university in Kankan, Guinea.[1] It is named after Julius Nyerere, the first President of Tanzania.
Julius Nyerere University of Kankan
Université Julius Nyerere de Kankan Established 1968 Location Kankan
,
GuineaWebsite www.ujnk.org
Mkapa na nyerere walikuwa wanabonga Sana ngeli pia nyerere alikuwa mjenga hoja matata. Sasa hivi si Mbowe, si magufuli, si lipumba wote Kingereza kibovu
Alikuwa anaheshimika sana!
Mimi mpaka leo hii huwa nikikutana na watu wa Afrika Magharibi kama Ghana, Nigeria, Ivory Coast na kwingineko, na walio na umri wa kutosha kuweza kukumbuka, mara nyingi nikiwatajia ninapotoka, huwa wanamzungumzia pia Nyerere.
Nadhani wanamheshimu sana hata pande hizo.
Atajifunza kwamba hotuba zake wapinzani wa maendeleo walizipinga, ila yeye alikuwa wa vitendo tu! Mfano - Jenga ukuta kuzunguka machimbo ya Tanzanite, jenga bwawa la kufua umeme...... Vitendo tu.Yaani Nyerere ukisikiliza hotuba zake akiongelea mambo ya udini,ukabila,malaya wa kisiasa etc utadhani ni hotuba ya jana tu.Yule mzee hakika alikua ni special one.
Huyu wa sasa najiuliza hivi baada ya miaka kadhaa watoto/wajukuu Sijui watu watakua wanajifunza nini kutoka kwny hotuba zake.
Sasa hapo ndipo unapokosea mkuu, kuanza kulinganisha watu. Magufuli naye anasifika hivyo hivyoW
Atajifunza kwamba hotuba zake wapinzani wa maendeleo walizipinga, ila yeye alikuwa wa vitendo tu! Mfano - Jenga ukuta kuzunguka machimbo ya Tanzanite, jenga bwawa la kufua umeme...... Vitendo tu.
Watajifunza kwamba yale watu waliyokuwa wanayashangaa majuu, yote yako bongo. Watajifunza kwamba kujua lugha za wenzio siyo kuendelea/hakuleti maendeleo.
Watajifunza kwamba hata kama unajua lugha yako ya kijijini mwako tu, ukiwa na nia ya kuleta maendeleo kwa unaowaongoza unaweza. Warusi, wajapan, wachina, waturuki n.k,wameweza bila kutumia lugha za wenzio. Watajifunza mengi sana na watabadirika. Hawatakuwa na kasumba ya kikoloni/kibeberu kichwani mwao kama vizazi vya sasa.
Huyu wa sasa akienda Marekani , Trump anaweza hata hasi notice uwepo wake.mwaka 75 laa, Nyerere alikuwa na heshimika sana duniani,nakumbuka aliwahi kupokelewa Ikulu ya Marekani na rais Jimmy Carter, wakati rais mwenzie ambaye alikuwa huko wakati huo Omary Bongo alikuwa anasaga lami tu mitaani.
Mbona tuliambiwa Mataifa mengine ya Afrika yanamtamani Magufuli awe rais wao, je naye hapewi heshima kama Nyerere ?Alikuwa anaheshimika sana!
Mimi mpaka leo hii huwa nikikutana na watu wa Afrika Magharibi kama Ghana, Nigeria, Ivory Coast na kwingineko, na walio na umri wa kutosha kuweza kukumbuka, mara nyingi nikiwatajia ninapotoka, huwa wanamzungumzia pia Nyerere.
Nadhani wanamheshimu sana hata pande hizo.
Yeye anazoiba zitamtokea tundu ganiPumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
Amekuambukiza utopolo!Kweli, Magu yeye ni hoja za uchumi kupanda, mawasiliano - ya anga, barabara, majini. Hoja ya elimu, afya na hoja za nishati ya bei rahisi. Pia anazo hoja alizozijenga kama kuhamia Dodoma!
Hoja hizo kwake amezitoa kwenye kiswahili na kiingereza akaziweka kwenye vitendo. Siyo hoja za lugha (maneno) tu kwake. Ni vitendo. Sasa linganisha - kujenga hoja za umahiri wa lugha bila matendo au vitendo na matokeo bayana! Chagua.
Tuletee kapicha Mkuu Mfano mojawapo ya jinsi zinavyotoka tushuhudie Mkuu,acha ukali!Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
Hotuba zenyewe zimeanza kufichwa.Yaani Nyerere ukisikiliza hotuba zake akiongelea mambo ya udini,ukabila,malaya wa kisiasa etc utadhani ni hotuba ya jana tu.Yule mzee hakika alikua ni special one.
Huyu wa sasa najiuliza hivi baada ya miaka kadhaa watoto/wajukuu Sijui watu watakua wanajifunza nini kutoka kwny hotuba zake.