Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Alikuwa anaheshimika sana!mwaka 75 laa, Nyerere alikuwa na heshimika sana duniani,nakumbuka aliwahi kupokelewa Ikulu ya Marekani na rais Jimmy Carter, wakati rais mwenzie ambaye alikuwa huko wakati huo Omary Bongo alikuwa anasaga lami tu mitaani.
Siku hizi Ni ....Choo oyee,jogoo oyee...kesho mkajisaidie kwa DC,hizo hela mlixokula zitawatokea kwenye sehemu matundu yote yaliyowazi![emoji36][emoji36]
Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni naniSiku hizi Ni ....Choo oyee,jogoo oyee...kesho mkajisaidie kwa DC,hizo hela mlixokula zitawatokea kwenye sehemu matundu yote yaliyowazi!😤😤
Yeye mwenyewe alipokufa alipita mule mule pa barabara za nyampala. Wewe mwenyewe unasaga lami za nyampala.Ninamkumbuka mzee kingunge alisema ""huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo"" sasa yametimia.
Siku hizi Ni ....Choo oyee,jogoo oyee...kesho mkajisaidie kwa DC,hizo hela mlixokula zitawatokea kwenye sehemu matundu yote yaliyowazi![emoji36][emoji36]
Siku hizi Ni ....Choo oyee,jogoo oyee...kesho mkajisaidie kwa DC,hizo hela mlixokula zitawatokea kwenye sehemu matundu yote yaliyowazi!😤😤
Julius Nyerere University of KankanHii ilikuwa ni siku ya mwisho ya ziara yake ya kitaifa aliyoifanya huko Uingereza mwaka 1975. Hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa, tarehe 21, Novemba 1975.
Hivi Rais Mkapa mwaka ‘75 alikuwa na wadhifa gani serikalini?
Hao wengine sijawatambua ni akina nani.
Hii ziara niliwahi kuianzishia uzi humu miaka karibu 5 iliyopita ila hii video sikuwa nayo.
Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza
| Université Julius Nyerere de Kankan | |
| Established | 1968 |
|---|---|
| Location | Kankan , Guinea |
| Website | www.ujnk.org |
Haiwezekani!! Wengine wa afadhali bwana hoja za kiswahili wanaweza.Mkapa na nyerere walikuwa wanabonga Sana ngeli pia nyerere alikuwa mjenga hoja matata. Sasa hivi si Mbowe, si magufuli, si lipumba wote Kingereza kibovu
Bado kipo?Julius Nyerere University of Kankan
Julius Nyerere University of Kankan (UJNK), also known as Université de Kankan is a university in Kankan, Guinea.[1] It is named after Julius Nyerere, the first President of Tanzania.
Julius Nyerere University of Kankan
Université Julius Nyerere de Kankan Established 1968 Location Kankan
,
GuineaWebsite www.ujnk.org
Lakini…… .nyumba ni chooooo!Ahahaha,eti choo oye
Dah!...hii noma sasaSiku hizi Ni ....Choo oyee,jogoo oyee...kesho mkajisaidie kwa DC,hizo hela mlixokula zitawatokea kwenye sehemu matundu yote yaliyowazi!😤😤
Kweli, Magu yeye ni hoja za uchumi kupanda, mawasiliano - ya anga, barabara, majini. Hoja ya elimu, afya na hoja za nishati ya bei rahisi. Pia anazo hoja alizozijenga kama kuhamia Dodoma!Haiwezekani!! Wengine wa afadhali bwana hoja za kiswahili wanaweza.
Magu hawezi kujenga hoja hata kwa kiswahili!! Tumepatikana kweli!.. tunaishia kusema, watamwelewa tu
Acha tu kingereza, hoja haijengwi kwa kingereza, hoja inajengwa na uwezo wako wa akili. Sasa hao uliowataja hata kujenga kwa kiswahili ni shida.Mkapa na nyerere walikuwa wanabonga Sana ngeli pia nyerere alikuwa mjenga hoja matata. Sasa hivi si Mbowe, si magufuli, si lipumba wote Kingereza kibovu
Natamani sana nimsikie Ndugu Augustino Lyatonga Mrema akimwaga ngeliMkapa na nyerere walikuwa wanabonga Sana ngeli pia nyerere alikuwa mjenga hoja matata. Sasa hivi si Mbowe, si magufuli, si lipumba wote Kingereza kibovu