Julius Nyerere, Benjamin Mkapa, wakiwa London mwaka 1975

Nigeria wanamjua Mwalimu Nyerere kwani aliunga mkono upande wa Biafra pale akina Ojukwu walipotaka kujitenga na kuunda serikali yao.
Pia siasa za kutofungamana na upande wowote zililipaisha sana jina la Mwalimu.
 
Haya Mambo ya press conference na wazungu ndo yanamfanya mtu aogope kwenda huko majuu kushangaa maflyover na madege
 
Wakati huo tukiwa na rais.
 
Ni kama sasa hao kutoka Ghana, Nigeria, Ivory Coast na kwingineko ukiwatajia unakotoka huwa wanamzungumzia Magufuli na kusema Afrika ya sasa inahitaji kiongozi wa sampuli yake.
 
Siku hizi Ni ....Choo oyee,jogoo oyee...kesho mkajisaidie kwa DC,hizo hela mlixokula zitawatokea kwenye sehemu matundu yote yaliyowazi![emoji36][emoji36]
Hahah Barakoa inafanana na titi 1 hivi lililokatwa.
 
Yaani Nyerere ukisikiliza hotuba zake akiongelea mambo ya udini,ukabila,malaya wa kisiasa etc utadhani ni hotuba ya jana tu.Yule mzee hakika alikua ni special one.

Huyu wa sasa najiuliza hivi baada ya miaka kadhaa watoto/wajukuu Sijui watu watakua wanajifunza nini kutoka kwny hotuba zake.
 
Nigeria wanamjua Mwalimu Nyerere kwani aliunga mkono upande wa Biafra pale akina Ojukwu walipotaka kujitenga na kuunda serikali yao.
Pia siasa za kutofungamana na upande wowote zililipaisha sana jina la Mwalimu.
Na Nigeria ilituma jeshi lake nchini kipindi kile cha sekeseke la Mwl. kupinduliwa na Ethiopia nao walitupiga tafu.
 
Bila kusahau hata waingereza nao wamempa Mtaa unaoitwa - Julius Nyerere Close, Islington, London, N1 0JT . Huyu Mzee ni dunia nzima kwa kweli ilimzimia hata mabeberu...

source:Interesting Information for Julius Nyerere Close, Islington, London, N1 0JT Postcode
 

Je wanamzungumziaje Magufuli, na mambo yaliyomkuta Lisu?
 
W Atajifunza kwamba hotuba zake wapinzani wa maendeleo walizipinga, ila yeye alikuwa wa vitendo tu! Mfano - Jenga ukuta kuzunguka machimbo ya Tanzanite, jenga bwawa la kufua umeme...... Vitendo tu.
Watajifunza kwamba yale watu waliyokuwa wanayashangaa majuu, yote yako bongo. Watajifunza kwamba kujua lugha za wenzio siyo kuendelea/hakuleti maendeleo.
Watajifunza kwamba hata kama unajua lugha yako ya kijijini mwako tu, ukiwa na nia ya kuleta maendeleo kwa unaowaongoza unaweza. Warusi, wajapan, wachina, waturuki n.k,wameweza bila kutumia lugha za wenzio. Watajifunza mengi sana na watabadirika. Hawatakuwa na kasumba ya kikoloni/kibeberu kichwani mwao kama vizazi vya sasa.
 
Sasa hapo ndipo unapokosea mkuu, kuanza kulinganisha watu. Magufuli naye anasifika hivyo hivyo
 
mwaka 75 laa, Nyerere alikuwa na heshimika sana duniani,nakumbuka aliwahi kupokelewa Ikulu ya Marekani na rais Jimmy Carter, wakati rais mwenzie ambaye alikuwa huko wakati huo Omary Bongo alikuwa anasaga lami tu mitaani.
Huyu wa sasa akienda Marekani , Trump anaweza hata hasi notice uwepo wake.
 
Mbona tuliambiwa Mataifa mengine ya Afrika yanamtamani Magufuli awe rais wao, je naye hapewi heshima kama Nyerere ?
 
Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
Yeye anazoiba zitamtokea tundu gani
 
Amekuambukiza utopolo!
Umesahau hoja za kujiita kichaa, anawazimu! Kuua wenye mawazo tofauti kwakuwaita wasaliti, kuropoka matusi hadharani...n.k
 
Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
Tuletee kapicha Mkuu Mfano mojawapo ya jinsi zinavyotoka tushuhudie Mkuu,acha ukali!
 
Hotuba zenyewe zimeanza kufichwa.

Zinawekwa zinazowafurahusha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…