Julius Nyerere, Benjamin Mkapa, wakiwa London mwaka 1975

Hotuba zenyewe zimeanza kufichwa.

Zinawekwa zinazowafurahusha tu.
Hahah uko sawa kabisa mkuu,kule Youtube wamezinyofoa sana aisee huku TBC wenyewe waki-play zile zinazowapendeza wao lkn zile konki hawa-play hata kwa dawa.
 
Mkapa aliandaliwa kuja kuwa kiongozi ndiyo maana hakutaka na misifa ya kijinga
 
Hakika utafiti wa TWAWEZA ulikua sawa kwa 100%.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema ""huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo"" sasa yametimia.
Kingunge mwenyewe familia yake inapesa zisizo na maelezo kwanini asianze kwa watoto wake!
 
Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
Tulipokuwa tumefika, hakika tulihitaji zaidi ya Magufuli. Hata watu wapuuzi walishakuwa maarufu kwa upuuzi wao. Kiwango hicho ukijidai kupanga na kujadili vizuri unaishia kulipwa upuuzi.
 
Ni kama sasa hao kutoka Ghana, Nigeria, Ivory Coast na kwingineko ukiwatajia unakotoka huwa wanamzungumzia Magufuli na kusema Afrika ya sasa inahitaji kiongozi wa sampuli yake.
Twaib!

Hii nayo ni kweli kabisa maana hata mimi binafsi ishanitokea mara kadhaa nikutanapo na raia wa sehemu zingine za Afrika.

Ukiwaambia unatokea Tanzania...wanasema ‘Magufuli’.

Nadhani kama Rais Magufuli angekuwa ni mtu wa kupenda kusafiri nchi za nje na kufanya mikutano na waandishi wa habari, basi jina lake lingevuma zaidi ya hivi sasa.
 
Kweli maisha bana, mkapa @ age 37 ashaanza kula mabataz!!

Wengine tunazeeka Uingeleza kukanyaga bado ni ndoto!!
 
Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
Pum ...,Bangladesh, Bangkok,Islamabad, Shutramapyndra!
 
Heshima YOTE tuliyokuwa nayo kimataifa imekwenda na maji, limebakia genge la kutishia usalama wa raia na kushambulia wakosoaji wa Serikali kwa kutumia mitutu ya bunduki na SILAHA ZA KIVITA tena mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…