Mimi pia nataka kuona progress kwa majirani. Singependa kuona mkitumia jengo lililojengwa na wakoloni, hio ni aibu Africa Mashariki.Umeshaanza kazi, ukija Dar utashukia Terminal three, official opening ilikua inamsubiri uncle Magu alikua katika ziara ndefu kusini mwa Afrika. Jaribu kuja Dar kwa KQ uje uone maajabu.
Tatizo kubwa ni knowledge ndogo mliyonayo wakenya wengi hadi mnasikitisha, kabla ya hizi social media, nilikua ninadhani wakenya wapo na uelewa mkubwa wa mambo kumbe ni tofauti sana, wakenya ni kama mumefungiwa ndani ya box, hamjui mambo mengi sana yanayotendeka nje ya Kenya, ninyi mnasikiliza "media" zenu zaidi, ambazo nyingi huwa zinasifia Kenya, hivyo wakenya wanadhani wapo vizuri siku zote.Mimi pia nataka kuona progress kwa majirani. Singependa kuona mkitumia jengo lililojengwa na wakoloni, hio ni aibu Africa Mashariki.
Sawa Mkubwa.Tatizo kubwa ni knowledge ndogo mliyonayo wakenya wengi hadi mnasikitisha, kabla ya hizi social media, nilikua ninadhani wakenya wapo na uelewa mkubwa wa mambo kumbe ni tofauti sana, wakenya ni kama mumefungiwa ndani ya box, hamjui mambo mengi sana yanayotendeka nje ya Kenya, ninyi mnasikiliza "media" zenu zaidi, ambazo nyingi huwa zinasifia Kenya, hivyo wakenya wanadhani wapo vizuri siku zote.
Huo uwanja ni terminal one, ambao tuliacha kuutumia kwa matumizi ya kawaida mwaka 1986, huo unatumika kwa VIP na ndege private, hapo ndio penye airwing kwa ajili ya ndege za kivita, unaweza linganisha na Wilson airport huko kwenu. Kuanzia 1986 tulijenga Terminal 2 ambayo ndiyo imetumika hadi mwishoni mwa May 2019, sasa hivi terminal 2 inatumika for domestic trips.
Wewe nilikuambia utembee Nairobi ,uwache kukwama Mombasa na kujifanya umetembea Kenya. Hujafika Kenya kama hujafika Nairobi.
Sawa MkubwaThese pictures were taken by me earlier this year hapo Nairobi,
View attachment 1118199View attachment 1118200View attachment 1118201
U need to know the definition of ugly before using it... Look at your wife and that's the definition of ugly
These pictures were taken by me earlier this year hapo Nairobi,
View attachment 1118199View attachment 1118200View attachment 1118201
I think you never steped to Airport, JKIA terminal 1d is the Ugliest thing ever Existed..
Terminal 1 d is used for domestic arrivals and departuresI think you never steped to Airport, JKIA terminal 1d is the Ugliest thing ever Existed..
Wilson is not an international airport, it is just a tiny airport in Nairobi. Mbona hujaulizia JKIA, Mombasa, Kisumu, Eldoret.....
Oh, and JKIA alone boasts more passenger numbers than the 6 biggest Tanzanian airports combined! Go figure.
Hahahaha, kama amerudi after hiyo then he is a mongoloid
hahahahaha, umeishiwa wewe, hiyo terminal tuliikuta, ilijengwa na wakoloni. Usisahau kwamba Terminal 3 is the biggest, ultramodern airport in east and central Africa. Hahahahaha
See this, You can fly directly from JKIA to Kilimanjaro or Zanzibar Direct from Nairobi, meaning that in Tz there are other international destinations apart from Dar,Terminal 1 d is used for domestic arrivals and departures
Not unless you want to say flights from Tanzania are domestic.
Dogo unatamani sana Kunijua, Halafu What is Nairobi, Just Nothing, Nimeshavuka hadi bahari ya Mediterrania.Weka passport signed hapo.. Wacha kutubeba
Hahahahaha, airport without vyoo?,Ligi yetu Sai ni Africa nyinyi east and central
Dogo unatamani sana Kunijua, Halafu What is Nairobi, Just Nothing, Nimeshavuka hadi bahari ya Mediterrania.
Nimekuelewa ...but still it's an insult to compare JKIA to JNIA.See this, You can fly directly from JKIA to Kilimanjaro or Zanzibar Direct from Nairobi, meaning that in Tz there are other international destinations apart from Dar,
Contrary when I want to fly to Mombasa from Dar,
I will have to land to Nairobi first, nitoke kwenye terminal 1a, nivuke barabara hadi kwenye Teeminal 1d, ndio nicheck in kwenda Mombasa.
View attachment 1118401
Hahahahaha, airport without vyoo?,