Julius Nyerere High School Administration Block

Umeshaanza kazi, ukija Dar utashukia Terminal three, official opening ilikua inamsubiri uncle Magu alikua katika ziara ndefu kusini mwa Afrika. Jaribu kuja Dar kwa KQ uje uone maajabu.
Mimi pia nataka kuona progress kwa majirani. Singependa kuona mkitumia jengo lililojengwa na wakoloni, hio ni aibu Africa Mashariki.
 
Tatizo kubwa ni knowledge ndogo mliyonayo wakenya wengi hadi mnasikitisha, kabla ya hizi social media, nilikua ninadhani wakenya wapo na uelewa mkubwa wa mambo kumbe ni tofauti sana, wakenya ni kama mumefungiwa ndani ya box, hamjui mambo mengi sana yanayotendeka nje ya Kenya, ninyi mnasikiliza "media" zenu zaidi, ambazo nyingi huwa zinasifia Kenya, hivyo wakenya wanadhani wapo vizuri siku zote.

Huo uwanja ni terminal one, ambao tuliacha kuutumia kwa matumizi ya kawaida mwaka 1986, huo unatumika kwa VIP na ndege private, hapo ndio penye airwing kwa ajili ya ndege za kivita, unaweza linganisha na Wilson airport huko kwenu. Kuanzia 1986 tulijenga Terminal 2 ambayo ndiyo imetumika hadi mwishoni mwa May 2019, sasa hivi terminal 2 inatumika for domestic trips.
 
Sawa Mkubwa.
 
Wewe nilikuambia utembee Nairobi ,uwache kukwama Mombasa na kujifanya umetembea Kenya. Hujafika Kenya kama hujafika Nairobi.

These pictures were taken by me earlier this year hapo Nairobi,
IMG_6585.JPG
IMG_6586.JPG
f6f6f036-08a3-45c9-bf66-ed8af8384e47.jpg
 
U need to know the definition of ugly before using it... Look at your wife and that's the definition of ugly

Hahahaha, kama amerudi after hiyo then he is a mongoloid
 
I think you never steped to Airport, JKIA terminal 1d is the Ugliest thing ever Existed..
Terminal 1 d is used for domestic arrivals and departures
Not unless you want to say flights from Tanzania are domestic.
 
Wilson is not an international airport, it is just a tiny airport in Nairobi. Mbona hujaulizia JKIA, Mombasa, Kisumu, Eldoret.....

Oh, and JKIA alone boasts more passenger numbers than the 6 biggest Tanzanian airports combined! Go figure.

Wilson ilikuwa inatumika wakati Terminal 1 ya JNIA ilipokuwa inatumika tu compare hizo kwanza halafu tuje kwenye JNIA T2 & T3 na JKIA ugly outdated terminal ambazo zote bado zinatumika kwa international and local flights
 
Ligi yetu Sai ni Africa nyinyi east and central
hahahahaha, umeishiwa wewe, hiyo terminal tuliikuta, ilijengwa na wakoloni. Usisahau kwamba Terminal 3 is the biggest, ultramodern airport in east and central Africa. Hahahahaha
 
Terminal 1 d is used for domestic arrivals and departures
Not unless you want to say flights from Tanzania are domestic.
See this, You can fly directly from JKIA to Kilimanjaro or Zanzibar Direct from Nairobi, meaning that in Tz there are other international destinations apart from Dar,
Contrary when I want to fly to Mombasa from Dar,
I will have to land to Nairobi first, nitoke kwenye terminal 1a, nivuke barabara hadi kwenye Teeminal 1d, ndio nicheck in kwenda Mombasa.

View attachment 1118401
Nimekuelewa ...but still it's an insult to compare JKIA to JNIA.
 
Back
Top Bottom