Tatizo kubwa ni knowledge ndogo mliyonayo wakenya wengi hadi mnasikitisha, kabla ya hizi social media, nilikua ninadhani wakenya wapo na uelewa mkubwa wa mambo kumbe ni tofauti sana, wakenya ni kama mumefungiwa ndani ya box, hamjui mambo mengi sana yanayotendeka nje ya Kenya, ninyi mnasikiliza "media" zenu zaidi, ambazo nyingi huwa zinasifia Kenya, hivyo wakenya wanadhani wapo vizuri siku zote.
Huo uwanja ni terminal one, ambao tuliacha kuutumia kwa matumizi ya kawaida mwaka 1986, huo unatumika kwa VIP na ndege private, hapo ndio penye airwing kwa ajili ya ndege za kivita, unaweza linganisha na Wilson airport huko kwenu. Kuanzia 1986 tulijenga Terminal 2 ambayo ndiyo imetumika hadi mwishoni mwa May 2019, sasa hivi terminal 2 inatumika for domestic trips.