Jullie Dolls

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kati ya watoto wakali ninaowakubali apa mujini basi huyu ni nambar One, mtoto mkali utadhani nini, i wish ungeingia bongo movie uwakimbize, maana im sure hakuna ata mmoja atakayegusa level zako.
 
Attachments

  • 1415697625384.jpg
    38.8 KB · Views: 1,849
Bongo movies wanaingia failures.. Julie mtoto wa Didas Masaburi..naskia kaungua..hahah mjini kuna umbea jamani..

amemuunguza nani?

sisi wa huku Namtumbo tunamuaminia sana Muuza Sura kwa kutoa credit za wakali wa town!!

alisema yule bilionea wa Instagram hamjui,kweli ikagundulika sio bilionea!!

Muuza Sura njoo uthibitishe
 
Last edited by a moderator:

Huyo Muuza Sura nasikia ni nuksi kwa habar za watoto wa mujini, ivi anapatikana wapi niombe collaboration jaman??
 
Last edited by a moderator:
Bongo movies wanaingia failures.. Julie mtoto wa Didas Masaburi..naskia kaungua..hahah mjini kuna umbea jamani..

Halafu nasikia ni toto la kishua hatare, hana njaa kama akina lulu na mama ubaya
 
Kwa uzuri hana hata robo uwadanganye wasomjua live mfupi sura ya kawaida sana alafu sio mweupe ivyo kama izo 360 zinavyomfanya

Sio vizur binamu, mbona mzur tu jaman??
 
nshaskia ana mimba ya rummy
mmmhh...!!mjini kuzuri sirudi sitimbi ng'ooo

Mmh!! Na ule ukimwi sijui itakuwaje, sie wambea yetu macho tu, mie nshaanza kuhesabu, mimba ina miezi mitatu na wiki hii ndo miez minne inatimia, ikifika ya tisa tu ntakaa karibu nijue kajifungua wap na mtoto gan
 
mtoto wa didas masaburi pesa ipo ila ndo kimeo tuu

Ndo maana bas anawazinguaga mastaa wa bongo, maana alikuwaga rafik wa lulu wakazinguana, mi nilijua tu coz mafahar wawil hawakai zizi moja, kwa wolper nae wakazinguana, penny andunje nasikia ndo akamuiba rummy wake akachambwa na ushoga ukaisha, yule demu kauzu sana , anajua kuwakomesha bongo movie
 
Huyo Jullie nasikia anaringa kama vile hanti!!kanunuiwa na gari nasikia...hata iyo mimba alitambika mpaka mizimu ya babu zake,nasikia ni special mahsus kula sahani moja na wake wenzake ambao wote wamezalishwa na rummy show muuza sembe...
 
yah hiyo mimba kaitafuta hatare had kwa waganga chezea pesa weye na kahaidiwa ndoa akijifungua baby boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…