Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Eeh mwenzenu nshasahau hvyo, yan umbea huu binami, hapana
Haaaaaaaaa we noumaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh mwenzenu nshasahau hvyo, yan umbea huu binami, hapana
Ndio lile lenye plate # iliyoandikwa kauthar?kuna siku nimepishana nalo migo mara kibao...
Ndo maana bas anawazinguaga mastaa wa bongo, maana alikuwaga rafik wa lulu wakazinguana, mi nilijua tu coz mafahar wawil hawakai zizi moja, kwa wolper nae wakazinguana, penny andunje nasikia ndo akamuiba rummy wake akachambwa na ushoga ukaisha, yule demu kauzu sana , anajua kuwakomesha bongo movie
Mmeingia kwa mange jamani?nimecheka balaa anakuja bongo eti atakua anatembea na bodyguard ukisogea tu risasi ya kalio kama khanga moko
Kaka mmoja handsome na ana pesa chafu za unga ,,,anagonga haangalii suraa na gari juu utapata na kifua kikuu utakipata pia
Mmeingia kwa mange jamani?nimecheka balaa anakuja bongo eti atakua anatembea na bodyguard ukisogea tu risasi ya kalio kama khanga moko
hahahaaaaa
rummy si naskia ana kimeo kingine sasa hivi ngoja nimsachi jina ntamueka hapa
Si anajijua ana maadui kibao ,,lazima awazeeee ukiwa na maadui unakua hujiaminiii ndio yeye
I cant wait magauni yangu tehetehetehe !
Heheee tule tugauni tubaya twaninii alitokua anatuvaa !!!!au umelipia yale mazuriiii
Mumchunge lazima tindikali itamuhusuuuu watu wabayaa mjinii wana visasiiiii
Mwenzake betina alipokea kipigo bongo watu hawalazi damu
mwenzake betina alipokea kipigo bongo watu hawalazi damu
i cant wait magauni yangu tehetehetehe !
Nini kutoka nae? Na mimba juu, wapi Mrembo by Nature na Dinazarde
nshaskia ana mimba ya rummy
mmmhh...!!mjini kuzuri sirudi sitimbi ng'ooo
yah hiyo mimba kaitafuta hatare had kwa waganga chezea pesa weye na kahaidiwa ndoa akijifungua baby boy
hahahahaaaa. ... Mie ikungulyabupina sikanyagi ng'oooo watanisikilizia kweny taarifa za habare
Mmh!! Na ule ukimwi sijui itakuwaje, sie wambea yetu macho tu, mie nshaanza kuhesabu, mimba ina miezi mitatu na wiki hii ndo miez minne inatimia, ikifika ya tisa tu ntakaa karibu nijue kajifungua wap na mtoto gan
Basi mi nilijua Rummy yule Nduguye Diamond ..heheheh maana ni maarufu kwa Blog ya Sintah , bila kutajwa huyo hapakuchi, Dinazarde mbona kila nikifungue sinta inanigomea kwema ??