Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ana uzuri gani huyu. ...fake fake fakeee...kafuuupiiii km kigoda
Yaan huyu ndo mfupi hiviii atavaa high heels mpaka achoke,wengine tukivaa viatu virefu ni majinii,yaan hapo kavaa viatu lakini ni mfupi bado nikisimama nae hanifikii hata nikiwa na flat shoes,,,poyeeee kila mtu na kasoro zakee
Ila ana jicho zuriii teh teh