Jullie Dolls

Jullie Dolls

Jf burudani sana huyu Julie nilikuwa simfaham kabisa ila wakali wa ubuyu wamefanya nimfahamu sana
 
Achen kupost ushuzi basi huyo demu ana uzuri gani ama unaangalia sura yako mbaya basi kisa kakuzidi ndo mana.
Huyo demu ni mbaya ama chini ya kawaida...360 haijasaidia plus domo lake kubwa afu kakomaa.
Sasa sikia mi mwanaume lakini hajanishtua
 
Mmmh, ngoja nielekee kanisan mie
 
Au labda mi nazeeka sasa maana siuoni uzuri wala mvuto wake.

Ni wa kawaida sana, labda Binamu unamaslai nae.
 
Back
Top Bottom