Jullie Dolls

Jullie Dolls

Mmh!! Na ule ukimwi sijui itakuwaje, sie wambea yetu macho tu, mie nshaanza kuhesabu, mimba ina miezi mitatu na wiki hii ndo miez minne inatimia, ikifika ya tisa tu ntakaa karibu nijue kajifungua wap na mtoto gan

Mmmmmh bina we kiboko duuuuu salute kwako
 
Mmeingia kwa mange jamani?nimecheka balaa anakuja bongo eti atakua anatembea na bodyguard ukisogea tu risasi ya kalio kama khanga moko

Hahahaha umeniacha hoi uuuuuwi jf burudaaaaaaani
 
Rummy ni yupi huyo ebu niambieni, ni yule DJ wa Diamond au?

Siyo huyo dogo,yupo jamaa mmoja hivi 1417175992985.jpg
 
Back
Top Bottom