Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Tupige na ma selfie watatukomajeeee
hahahaaaaa
jf ahsante melo na mosha kwa hili
Sasa mnataka kunigeuza Le Mutuz eeeh hahahaha
Katuzoeshaaaa mapichaaa yaani
Tupige na ma selfie watatukomajeeee
Achen kupost ushuzi basi huyo demu ana uzuri gani ama unaangalia sura yako mbaya basi kisa kakuzidi ndo mana.
Huyo demu ni mbaya ama chini ya kawaida...360 haijasaidia plus domo lake kubwa afu kakomaa.
Sasa sikia mi mwanaume lakini hajanishtua
Duh hayahaya ya jf?? Sio poa mshikaji.
we jamaa una baraka zote za kua mdada ha ha ha kabadili jinsia tu.
Wanaoumwa vifua ni wengi jamaniii
Ana uzuri gani huyu. ...fake fake fakeee...kafuuupiiii km kigoda
Mmmhhh
Km ndio haka basi kabaya
nitakaribia sana mkuuKaribu tena