Mmh!! Na ule ukimwi sijui itakuwaje, sie wambea yetu macho tu, mie nshaanza kuhesabu, mimba ina miezi mitatu na wiki hii ndo miez minne inatimia, ikifika ya tisa tu ntakaa karibu nijue kajifungua wap na mtoto gan
Mmeingia kwa mange jamani?nimecheka balaa anakuja bongo eti atakua anatembea na bodyguard ukisogea tu risasi ya kalio kama khanga moko
Hahahaha umeniacha hoi uuuuuwi jf burudaaaaaaani
Binamu umeamkaje??
Nimependa kucha,vidole,nywele na macho kazur sema huo ufup kwa kweli hapana, bwana ake mwenyew andunje mama nae andu mtoto sijui itakuwaje
Ndo huyu anatoka na rummy?
Huyu rummy si ndo kazaa naye.
Rummy naye mwehu tu last week kamla dem wa dogo asley halafu akavujisha video