July 3; Yanga mcheze na sisi ila point wapewe Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.


Intelijensia yangu inaniambia uongozi wa Yanga umeanza chokochoko za kukataa kucheza July 3. Wameanza kuwatumia vijana wa mitandao na wachambuzi takataka kutuma ujumbe wao.

Tunaomba Simba iongee na TFF wabadili kidogo kanuni. Tucheze na Yanga ila point 3 wapewe Yanga. Tunataka utopolo wakose sababu.

Halafu mashabiki wa Simba Sc nao wapunguze vitisho kwa Yanga ili kushusha pressure
 
Uto kwann wanawahofia Simba hivi!
Yanga watapigwa si chini ya goli nne na Mnyama,ndo maana mechi iliyopita walikimbia,lakini July 3 siombali bado tabu ipo palepale kwa Vidimbwi f.c.
 
Wameanza kuhamasishana kutochezwa mchezo dhidi ya Simba, July 3

Jamaa Uto acheni kutukimbia, kwa sababu butu hizo, hatutawafunga mabao mengi
 
Natabiri kuna hatari kubwa ya yanga kufikiria kutokuingiza timu uwanjani, kama kweli yanga wataingia uwanjani basi yatakuwa ni mauaji ya ki historia, kuna uwezekano wa goli 7, hakika nawaambia.
 
Kwa lile mbungi walipigishwa Kaizer Chiefs ni muhimu kukataa kucheza na Simba aisee.
 
Bro sio chokochoko,bali ni wazi kabusa yanga wamesema teh 3 hawapeleki timu uwanjani hadi tff watatue mambo 8 ambayo yanga wanayalalamukia na tff hawajayatatua
 
We mzee huna team ya kushinda derby, sasa wamatopeni jifanyeni mnakuja na matokeo yenu mtaumia.
 
Mmehenyeshwa na ruvu shooting. Alafu leo mje muifunge YANGA. Kweli maajabu hayaishi duniani. Sijui mbumbumbu fc mnafeli wapi kudanganyana ujinga ujinga

Kama wewe ulivyofungwa 2-1 na timu inayotaka kushuka daraja
 
Bro sio chokochoko,bali ni wazi kabusa yanga wamesema teh 3 hawapeleki timu uwanjani hadi tff watatue mambo 8 ambayo yanga wanayalalamukia na tff hawajayatatua
Kama ni hayo mambo 8, kwa nini wasigomee kupeleka timu ilipocheza na JKT Tanzania au Namungo, au mechi za ligi zinazofuata, au hata mechi ya Mwadui ya FA, badala yake wanachagua mechi ya Julai 3 ?
 
Maneno mengi bila hoja tunataka sababu ya kuhairisha mechi wakati mashabiki wapo uwanjani. Simba ndio uliogopa kuleta timu baada ya mganga wenu kuwambia mtafungwa. Mkaenda kwa kiongozi wa serekali ambaye ni shabiki wenu akatoa amri mechi ihairishwe.Na simba ilikuwa jua mechi haitachezwa yanga wamepewa taarifa kwa simu wakati basi la timu linavuka daraja la kigamboni. Yanga tarehe 3.7.2021 timu hatupeleki tff na simba msitufanyie uhuni.mechi imehairishwa ili kuifavour simba.ndio maana karia jana anatowa povu hakukuwa na sababu ya msingi kuahirisha mechi.
 
Wapewe point 3, goli la kuanzia na ikiwezekana mapato yote yatakayopatikana siku hiyo.

Sisi tunataka kucheza nao tu kwa dakika 90.

Uto mnaonaje, hiyo sio fair?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…