SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mla ni mla leo mla jana hamna kituYanga ndio timu iliyo mfunga Simba maranyingi zaidi kuliko timu yoyote inayo shiriki Ligi kuu Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mla ni mla leo mla jana hamna kituYanga ndio timu iliyo mfunga Simba maranyingi zaidi kuliko timu yoyote inayo shiriki Ligi kuu Tanzania.
Kanuni ziko wazi wasipoleta timu uwanjani Simba anapewa point tatu, lakini sisi tunawataka uwanjani tuwadhihirishie kuwa hawajuiBro sio chokochoko,bali ni wazi kabusa yanga wamesema teh 3 hawapeleki timu uwanjani hadi tff watatue mambo 8 ambayo yanga wanayalalamukia na tff hawajayatatua
Naona wenge la kutolewa na Keizer halijatulia vizuri.View attachment 1795234
Intelijensia yangu inaniambia uongozi wa Yanga umeanza chokochoko za kukataa kucheza July 3. Wameanza kuwatumia vijana wa mitandao na wachambuzi takataka kutuma ujumbe wao.
Tunaomba Simba iongee na TFF wabadili kidogo kanuni. Tucheze na Yanga ila point 3 wapewe Yanga. Tunataka utopolo wakose sababu.
Halafu mashabiki wa Simba Sc nao wapunguze vitisho kwa Yanga ili kushusha pressure
😀😀😀😀 lol.Mmehenyeshwa na ruvu shooting. Alafu leo mje muifunge YANGA. Kweli maajabu hayaishi duniani. Sijui mbumbumbu fc mnafeli wapi kudanganyana ujinga ujinga
Halafu foward tuweke Opah toka Simba QueenNashauri Simba Tucheze Bila Kipa.
utajisikiaje mkifungiwa geti mkope pa kutokea😀😀😀😀 lol.
Hahahaaaa. Mtani naona mnajichekesha wenyewe. Lol.utajisikiaje mkifungiwa geti mkope pa kutokea