July 31,1966 ENGLAND WON THE FIFA WORLD CUP

July 31,1966 ENGLAND WON THE FIFA WORLD CUP

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
517
Reaction score
1,243
The media went for the story!
interestingasfuck-pzxa9g.jpg
 
World cup Mwaka huu almanusura wamtoe roho pele, kama sikosei ilikuwa ni mwendo wa guu la roho, guu la shingo.

Kadi nyekundu na njano zikaja kutumika mwaka 70 baada ya pele kusema hatoshiriki tena world cup baada ya ile ya 66.
 
Fainali yao dhidi ya West Germany ni moja kati ya mechi zenye utata katika historia ya soka, kwa kifupi England alibebwa na ndio maana haishangazi mpk sasa ni taji pekee kubwa la kimataifa kuwahi kulitwaa
Kushinda ile ya Italy na south Korea world cup ya mwaka 2002???????
 
Back
Top Bottom